Numbers 22:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitakutunukia heshima kubwa, na chochote utakachoniomba nitakutimizia. Njoo uwalaani watu hawa.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa sababu nitakulipa vizuri sana na kufanya lolote usemalo. Njoo unilaanie watu hawa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
maana nitakufanyizia heshima nyingi sana, na neno lo lote utakaloniomba nitalitenda; basi njoo, nakusihi, unilaanie watu hawa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitakutunukia heshima kubwa, na chochote utakachoniomba nitakutimizia. Njoo uwalaani watu hawa.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa sababu nitakulipa vizuri sana na kufanya lo lote usemalo. Njoo unilaanie watu hawa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa sababu nitakulipa vizuri sana na kufanya lolote usemalo. Njoo unilaanie watu hawa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
maana nitakutunukia heshima kubwa sana, na neno lolote utakaloniomba nitalitenda; basi njoo, nakusihi, unilaanie watu hawa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitakutunukia heshima kubwa, na chochote utakachoniomba nitakutimizia. Njoo uwalaani watu hawa.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani nitakuheshimu sanasana, nayo yote, utakayoniambia, nitayafanya; njoo tu, uniapizie hawa watu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
maana nitakufanyizia heshima nyingi sana, na neno lo lote utakaloniomba nitalitenda; basi njoo, nakusihi, unilaanie watu hawa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitakupatia heshima kubwa, na chochote utakachoniomba nitakutimizia. Kuja uwalaani watu hawa.