Numbers 22:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini tafadhalini laleni hapa usiku huu kama wale wenzenu, nami nipate kujua atakachoniambia Mwenyezi-Mungu tena.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mlale hapa usiku huu kama wale wengine walivyofanya, nami nitatafuta ni nini kingine Mwenyezi Mungu atakachoniambia.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa nawasihi, kaeni hapa tena usiku huu, nipate kujua Bwana atakaloniambia zaidi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini tafadhalini laleni hapa usiku huu kama wale wenzenu, nami nipate kujua atakachoniambia Mwenyezi-Mungu tena.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mlale hapa usiku huu kama wale wengine walivyofanya, nami nitatafuta ni nini kingine BWANA atakachoniambia.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mlale hapa usiku huu kama wale wengine walivyofanya, nami nitatafuta ni nini kingine bwana atakachoniambia.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa nawasihi, kaeni hapa tena usiku huu, nipate kujua BWANA atakaloniambia zaidi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini tafadhalini laleni hapa usiku huu kama wale wenzenu, nami nipate kujua atakachoniambia Mwenyezi-Mungu tena.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa nanyi kaeni hapa usiku huu, nijue, Bwana atakayoniambia tena!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa nawasihi, kaeni hapa tena usiku huu, nipate kujua BWANA atakaloniambia zaidi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini tafazali mulale hapa usiku huu kama wale wenzenu, nami nipate kujua kile Yawe atakachoniambia tena.