Numbers 22:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Balaki mwana wa Sipori, alijua mambo yote Waisraeli waliyowatendea Waamori.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Balaki mwana wa Sipori, aliona mambo yale yote ambayo Israeli aliwatendea Waamori,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Balaki mwana wa Sipori akaona mambo yote ambayo Israeli wamewatendea Waamori.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Balaki mwana wa Sipori, alijua mambo yote Waisraeli waliyowatendea Waamori.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Balaki mwana wa Sipori, aliona mambo yote yale Israeli aliyowatendea Waamori;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Balaki mwana wa Sipori, aliona mambo yale yote ambayo Israeli aliwatendea Waamori,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Balaki mwana wa Sipori akaona mambo yote ambayo Israeli wamewatendea Waamori.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme Balaki mwana wa Sipori, alijua mambo yote Waisraeli waliyowatendea Waamori.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Balaka, mwana wa Sipori, alipoyaona yote, Waisiraeli waliyowafanyizia Waamori,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Balaki mwana wa Sipori akaona mambo yote ambayo Israeli wamewatendea Waamori.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme Balaki mwana wa Sipori, alijua mambo yote Waisraeli waliyowatendea Waamori.