Numbers 22:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Balaamu akaamka asubuhi, akatandika punda wake, akaenda pamoja na hao maofisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Balaamu akaamka asubuhi, akatandika punda wake akaenda pamoja na wakuu wa Moabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Balaamu akaondoka asubuhi, akatandika punda wake, akaenda pamoja na wakuu wa Moabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Balaamu akaamka asubuhi, akatandika punda wake, akaenda pamoja na hao maofisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Balaamu akaamka asubuhi, akatandika punda wake akaenda pamoja na wakuu wa Moabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Balaamu akaamka asubuhi, akatandika punda wake akaenda pamoja na wakuu wa Moabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Balaamu akaondoka asubuhi, akatandika punda wake, akaenda pamoja na wakuu wa Moabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Balaamu akaamka asubuhi, akatandika punda wake, akaenda pamoja na hao maofisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bileamu alipoondoka asubuhi akamtandika punda wake, akaenda nao wakuu wa Moabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Balaamu akaondoka asubuhi, akatandika punda wake, akaenda pamoja na wakuu wa Moabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Balamu akaamuka asubui, akatandika punda wake, akaenda pamoja na hao wakubwa.