Numbers 22:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha malaika akatangulia tena, akasimama mahali pembamba pasipo na nafasi ya kupita kulia wala kushoto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha malaika wa Mwenyezi Mungu akaendelea mbele na kusimama mahali pembamba ambapo hapakuwa na nafasi ya kugeuka mkono wa kulia wala wa kushoto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Malaika wa Bwana akaendelea mbele akasimama mahali pembamba sana, hapakuwa na nafasi ya kugeukia mkono wa kuume, wala mkono wa kushoto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha malaika akatangulia tena, akasimama mahali pembamba pasipo na nafasi ya kupita kulia wala kushoto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha malaika wa BWANA akaendelea mbele na kusimama mahali pembamba ambapo hapakuwepo nafasi ya kugeuka, upande wa kulia wala wa kushoto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha malaika wa bwana akaendelea mbele na kusimama mahali pembamba ambapo hapakuwepo nafasi ya kugeuka, upande wa kulia wala wa kushoto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Malaika wa BWANA akaenda mbele akasimama mahali pembamba sana, hapakuwa na nafasi ya kugeukia mkono wa kulia, wala mkono wa kushoto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha malaika akatangulia tena, akasimama mahali pembamba pasipo na nafasi ya kupita kulia wala kushoto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye malaika wa Bwana akapita tena, akaenda kusimama mahali pafinyu sana pasipowezekana kupitia wala kuumeni wala kushotoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Malaika wa BWANA akaendelea mbele akasimama mahali pembamba sana, hapakuwa na nafasi ya kugeukia mkono wa kuume, wala mkono wa kushoto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha malaika akatangulia tena, akasimama pahali pembamba pasipo na nafasi ya kupita kuume wala kushoto.