Numbers 22:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Punda alipomwona huyo malaika wa Mwenyezi-Mungu, akalala chini. Balaamu akawaka hasira, akampiga kwa fimbo yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Punda alipomwona malaika wa Mwenyezi Mungu, alilala chini Balaamu angali amempanda, naye Balaamu akakasirika na kumpiga kwa fimbo yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yule punda akamwona malaika wa Bwana, akajilaza chini ya Balaamu; hasira yake Balaamu ikawaka, akampiga punda kwa fimbo yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Punda alipomwona huyo malaika wa Mwenyezi-Mungu, akalala chini. Balaamu akawaka hasira, akampiga kwa fimbo yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Punda alipomwona malaika wa BWANA, alilala chini Balaamu angali amempanda, naye Balaamu akakasirika na kumpiga kwa fimbo yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Punda alipomwona malaika wa bwana, alilala chini Balaamu angali amempanda, naye Balaamu akakasirika na kumpiga kwa fimbo yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yule punda akamwona malaika wa BWANA, akajilaza chini ya Balaamu; hasira yake Balaamu ikawaka, akampiga punda kwa fimbo yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Punda alipomwona huyo malaika wa Mwenyezi-Mungu, akalala chini. Balaamu akawaka hasira, akampiga kwa fimbo yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Punda alipomwona malaika wa Bwana akalala chini, naye Bileamu alikuwa juu yake. Ndipo, makali ya Bileamu yalipomwakia, akampiga punda kwa fimbo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yule punda akamwona malaika wa BWANA, akajilaza chini ya Balaamu; hasira yake Balaamu ikawaka, akampiga punda kwa fimbo yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Punda alipomwona huyo malaika wa Yawe, akalala chini. Balamu akawaka hasira, akamupiga kwa fimbo yake.