Numbers 22:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo Mwenyezi-Mungu akakifunua kinywa cha huyo punda, akamwambia Balaamu, “Nimekutendea nini hata ukanipiga mara hizi tatu?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Mwenyezi Mungu akakifungua kinywa cha punda, akamwambia Balaamu, “Nimekutendea nini kinachokufanya unipige mara hizi tatu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akakifunua kinywa cha yule punda, naye akamwambia Balaamu, Nimekutenda nini, hata ukanipiga mara tatu hizi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo Mwenyezi-Mungu akakifunua kinywa cha huyo punda, akamwambia Balaamu, “Nimekutendea nini hata ukanipiga mara hizi tatu?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha BWANA akakifunua kinywa cha punda, akamwambia Balaamu, “Nimekutendea nini kinachokufanya unipige mara hizi tatu?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha bwana akakifungua kinywa cha punda, akamwambia Balaamu, “Nimekutendea nini kinachokufanya unipige mara hizi tatu?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akakifunua kinywa cha yule punda, naye akamwambia Balaamu, Nimekutenda nini, hata ukanipiga mara tatu hizi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo Mwenyezi-Mungu akakifunua kinywa cha huyo punda, akamwambia Balaamu, “Nimekutendea nini hata ukanipiga mara hizi tatu?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Bwana alipokifumbua kinywa cha punda, akamwambia Bileamu: Nimekukosea nini, ukinipiga sasa mara ya tatu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akakifunua kinywa cha yule punda, naye akamwambia Balaamu, Nimekutenda nini, hata ukanipiga mara tatu hizi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapo Yawe akafungua kinywa cha huyo punda, akamwambia Balamu: Nimekutendea nini hata ukanipiga mara hizi tatu?