Numbers 22:39 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Balaamu akaenda pamoja na Balaki wakafika mjini Kiriath-husothi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Balaamu alienda na Balaki hadi Kiriath-Husothi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Balaamu akaenda pamoja na Balaki wakafika Kiriath-husothi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Balaamu akaenda pamoja na Balaki wakafika mjini Kiriath-husothi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Balaamu alikwenda na Balaki mpaka Kiriath-Husothi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Balaamu alikwenda na Balaki mpaka Kiriath-Husothi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Balaamu akaenda pamoja na Balaki wakafika Kiriath-husothi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Balaamu akaenda pamoja na Balaki wakafika mjini Kiriath-husothi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Bileamu akaenda na Balaka, wakaingia Kiriati-Husoti (Mji wenye Mabarabara).
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Balaamu akaenda pamoja na Balaki wakafika Kiriath-husothi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Balamu akaenda pamoja na Balaki. Wakafika katika muji Kiriati-husoti.