Numbers 22:40 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huko Balaki alitoa kafara ya ng'ombe na kondoo, akawagawia nyama Balaamu na maofisa waliokuwa pamoja naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Balaki akatoa dhabihu ya ng’ombe na kondoo; baadhi yake akampa Balaamu na wakuu waliokuwa pamoja naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Balaki akachinja ng'ombe, na kondoo, akampelekea Balaamu na wale wakuu waliokuwa pamoja naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huko Balaki alitoa kafara ya ng'ombe na kondoo, akawagawia nyama Balaamu na maofisa waliokuwa pamoja naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Balaki akatoa dhabihu ya ng'ombe na kondoo; baadhi yake akampa Balaamu na wakuu waliokuwa pamoja naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Balaki akatoa dhabihu ya ng’ombe na kondoo; baadhi yake akampa Balaamu na wakuu waliokuwa pamoja naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Balaki akachinja ng'ombe, na kondoo, akampelekea Balaamu na wale wakuu waliokuwa pamoja naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huko Balaki alitoa kafara ya ng'ombe na kondoo, akawagawia nyama Balaamu na maofisa waliokuwa pamoja naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Balaka akachinja ng'ombe na kondoo kuwa ng'ombe za tambiko, akamgawia hata Bileamu nyama, hata wakuu waliokuwa naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Balaki akachinja ng’ombe, na kondoo, akampelekea Balaamu na wale wakuu waliokuwa pamoja naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Huko Balaki akatoa sadaka ya ngombe na kondoo, akawagawanyia Balamu na wakubwa waliokuwa pamoja naye nyama.