Numbers 22:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Balaamu akawaambia, “Laleni huku usiku huu, nami nitawajulisheni atakayoniambia Mwenyezi-Mungu.” Basi, wazee hao wa Moabu wakakaa na Balaamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Balaamu akawaambia, “Mlale hapa usiku huu, nami nitawaletea jibu lile Mwenyezi Mungu atakalonipa.” Kwa hiyo wakuu wa Moabu wakakaa naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaambia, Kaeni hapa usiku huu, nami nitawaletea jawabu kama Bwana atakavyoniambia; wakuu wa Moabu wakakaa na Balaamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Balaamu akawaambia, “Laleni huku usiku huu, nami nitawajulisheni atakayoniambia Mwenyezi-Mungu.” Basi, wazee hao wa Moabu wakakaa na Balaamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Balaamu akawaambia, “Mlale hapa usiku huu, nami nitawaletea jibu lile BWANA atakalonipa.” Kwa hiyo wakuu wa Moabu wakakaa naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Balaamu akawaambia, “Mlale hapa usiku huu, nami nitawaletea jibu lile bwana atakalonipa.” Kwa hiyo wakuu wa Moabu wakakaa naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaambia, Kaeni hapa usiku huu, nami nitawaletea jawabu kama BWANA atakavyoniambia; wakuu wa Moabu wakakaa na Balaamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Balaamu akawaambia, “Laleni huku usiku huu, nami nitawajulisheni atakayoniambia Mwenyezi-Mungu.” Basi, wazee hao wa Moabu wakakaa na Balaamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawaambia: Laleni huku usiku huu! Nami na niwarudishie neno, kama Bwana atakavyoniambia. Kwa hiyo wale wakuu wa Wamoabu wakakaa kwake Bileamu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaambia, Kaeni hapa usiku huu, nami nitawaletea jawabu kama BWANA atakavyoniambia; wakuu wa Moabu wakakaa na Balaamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Balamu akawaambia: Mulale huku usiku huu, nami nitawajulisha vile Yawe atakayoniambia. Basi, wazee hao wa Moabu wakakaa na Balamu.