Numbers 22:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Mungu alimjia Balaamu, akamwuliza, “Ni nani hawa wanaokaa nawe?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu akamjia Balaamu na kumuuliza, “Watu gani hawa walio pamoja nawe?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu akamjia Balaamu, akasema, Ni watu gani hawa ulio nao pamoja nawe?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Mungu alimjia Balaamu, akamwuliza, “Ni nani hawa wanaokaa nawe?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu akamjia Balaamu na kumwuliza, “Watu gani hawa walio pamoja nawe?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu akamjia Balaamu na kumuuliza, “Watu gani hawa walio pamoja nawe?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu akamjia Balaamu, akasema, Ni watu gani hawa ulio nao pamoja nawe?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Mungu alimjia Balaamu, akamwuliza, “Ni nani hawa wanaokaa nawe?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu akaja kwake Bileamu, akamwuliza: Watu hawa wanaokaa kwako ni watu gani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu akamjia Balaamu, akasema, Ni watu gani hawa ulio nao pamoja nawe?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Mungu alimufikia Balamu, akamwuliza: Ni nani hawa wanaokaa nawe?