Numbers 23:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Balaamu akamwambia Balaki, “Nijengee madhabahu saba hapa kisha uniletee fahali saba na kondoo madume saba.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Balaamu akasema, “Nijengee hapa madhabahu saba, mnitayarishie mafahali saba na kondoo dume saba.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Balaamu akamwambia Balaki, Nijengee hapa madhabahu saba, ukaniandalie hapa ng'ombe waume saba, na kondoo waume saba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Balaamu akamwambia Balaki, “Nijengee madhabahu saba hapa kisha uniletee fahali saba na kondoo madume saba.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Balaamu akasema, “Nijengee hapa madhabahu saba, mnitayarishie mafahali saba na kondoo waume saba.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Balaamu akasema, “Nijengee hapa madhabahu saba, mnitayarishie mafahali saba na kondoo dume saba.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Balaamu akamwambia Balaki, Nijengee hapa madhabahu saba, ukaniandalie hapa ng'ombe dume saba, na kondoo dume saba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Balaamu akamwambia Balaki, “Nijengee madhabahu saba hapa kisha uniletee fahali saba na kondoo madume saba.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bileamu akamwambia Balaka: Nijengee hapa mahali saba pa kutambikia, kisha nipate hapa madume saba ya ng'ombe na madume saba ya kondoo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Balaamu akamwambia Balaki, Nijengee hapa madhabahu saba, ukaniandalie hapa ng’ombe waume saba, na kondoo waume saba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Balamu akamwambia Balaki: Unijengee mazabahu saba hapa kisha uniletee ngombe dume saba na kondoo dume saba.