Numbers 23:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Balaamu akamwambia Balaki, “Sina budi kusema maneno aliyonipa Mwenyezi-Mungu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Balaamu akajibu, “Je, hainipasi kusema kile Mwenyezi Mungu anachoweka katika kinywa changu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akajibu, akasema, Je! Hainipasi kuangalia, niseme neno lile Bwana atialo kinywani mwangu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Balaamu akamwambia Balaki, “Sina budi kusema maneno aliyonipa Mwenyezi-Mungu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Balaamu akajibu, “Je, hainipasi kusema kile BWANA anachoweka katika kinywa changu?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Balaamu akajibu, “Je, hainipasi kusema kile bwana anachoweka katika kinywa changu?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akajibu, akasema, Je! Hainipasi kuangalia, niseme neno lile BWANA atialo kinywani mwangu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Balaamu akamwambia Balaki, “Sina budi kusema maneno aliyonipa Mwenyezi-Mungu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akajibu kwamba: Hainipasi kuangalia, niyaseme yaleyale, Bwana aliyoyatia kinywani mwangu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akajibu, akasema, Je! Hainipasi kuangalia, niseme neno lile BWANA atialo kinywani mwangu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Balamu akamwambia Balaki: Hainipasi tu kusema maneno Yawe aliyoweka ndani ya kinywa changu?