Numbers 23:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo, Balaamu akamtolea Balaki kauli yake: “Inuka, Balaki, usikie, nisikilize ewe mwana wa Sipori.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Balaamu akasema ujumbe wake: “Balaki, inuka na usikilize, nisikie mimi, wewe mwana wa Sipori.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akatunga mithali yake, akasema, Ondoka Balaki, ukasikilize; Nisikilize, Ee mwana wa Sipori;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo, Balaamu akamtolea Balaki kauli yake: “Inuka, Balaki, usikie, nisikilize ewe mwana wa Sipori.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Balaamu akasema ujumbe wake: “Balaki, inuka na usikilize, nisikie mimi, wewe mwana wa Sipori.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Balaamu akasema ujumbe wake: “Balaki, inuka na usikilize, nisikie mimi, wewe mwana wa Sipori.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akatunga mithali yake, akasema, Ondoka Balaki, ukasikilize; Nisikilize, Ee mwana wa Sipori;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo, Balaamu akamtolea Balaki kauli yake: “Inuka, Balaki, usikie, nisikilize ewe mwana wa Sipori.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akaanza kusema maneno yake kwamba: Inuka, Balaka, usikie! Nitegee sikio lako, mwana wa Sipori!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akatunga mithali yake, akasema, Ondoka Balaki, ukasikilize; Nisikilize, Ee mwana wa Sipori;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu, Balamu akamutolea Balaki mashairi yake: Simama, Balaki, usikie! Unisikilize, ewe mwana wa Sipori!