Numbers 23:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Balaki akamwambia Balaamu, “Basi, usiwalaani wala usiwabariki kabisa!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Balaki akamwambia Balaamu, “Usiwalaani kabisa, wala usiwabariki kabisa!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Balaki akamwambia Balaamu, Basi usiwalaani kabisa, wala usiwabariki kabisa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Balaki akamwambia Balaamu, “Basi, usiwalaani wala usiwabariki kabisa!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Balaki akamwambia Balaamu, “Usiwalaani kabisa, wala usiwabariki kabisa!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Balaki akamwambia Balaamu, “Usiwalaani kabisa, wala usiwabariki kabisa!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Balaki akamwambia Balaamu, Basi usiwalaani kabisa, wala usiwabariki kabisa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Balaki akamwambia Balaamu, “Basi, usiwalaani wala usiwabariki kabisa!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Balaka alipomwambia Bileamu: Usipoweza kuwaapiza, uache kuwabariki!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Balaki akamwambia Balaamu, Basi usiwalaani kabisa, wala usiwabariki kabisa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Balaki akamwambia Balamu: Basi, usiwalaani wala usiwabariki kabisa!