Numbers 23:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Balaamu akamjibu Balaki, “Je, sikukuambia kwamba anachosema Mwenyezi-Mungu ndicho ninachopaswa kufanya?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Balaamu akajibu, “Je, sikukuambia ni lazima nifanye lolote analosema Mwenyezi Mungu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Balaamu akajibu akamwambia Balaki, Je! Sikukuambia ya kwamba, Kila neno Bwana atakalolisema sina budi kulitenda?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Balaamu akamjibu Balaki, “Je, sikukuambia kwamba anachosema Mwenyezi-Mungu ndicho ninachopaswa kufanya?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Balaamu akajibu, “Je, sikukuambia ni lazima nifanye lo lote analosema BWANA?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Balaamu akajibu, “Je, sikukuambia ni lazima nifanye lolote analosema bwana?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Balaamu akajibu akamwambia Balaki, Je! Sikukuambia ya kwamba, Kila neno BWANA atakalolisema sina budi kulitenda?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Balaamu akamjibu Balaki, “Je, sikukuambia kwamba anachosema Mwenyezi-Mungu ndicho ninachopaswa kufanya?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Bileamu akamjibu Balaka kwamba: Sikukuambia kwamba: Yote, Bwana atakayoyasema, nitayafanya?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Balaamu akajibu akamwambia Balaki, Je! Sikukuambia ya kwamba, Kila neno BWANA atakalolisema sina budi kulitenda?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Balamu akamujibu Balaki: Sikukuambia kwamba kile Yawe anachosema ndicho ninachopaswa kufanya?