Numbers 23:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Balaamu akarudi, akamkuta Balaki amesimama palepale karibu na sadaka yake ya kuteketezwa, pamoja na maofisa wote wa Moabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Balaamu akarudi kwa Balaki, akamkuta amesimama kando ya sadaka yake akiwa na wakuu wote wa Moabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akarudi kwake, na tazama, amesimama karibu na sadaka yake ya kuteketezwa, yeye na wakuu wote wa Moabu pamoja naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Balaamu akarudi, akamkuta Balaki amesimama palepale karibu na sadaka yake ya kuteketezwa, pamoja na maofisa wote wa Moabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Balaamu akarudi kwa Balaki, akamkuta amesimama kando ya sadaka yake akiwa na wakuu wote wa Moabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Balaamu akarudi kwa Balaki, akamkuta amesimama kando ya sadaka yake akiwa na wakuu wote wa Moabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akarudi kwake, na tazama, amesimama karibu na sadaka yake ya kuteketezwa, yeye na wakuu wote wa Moabu pamoja naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Balaamu akarudi, akamkuta Balaki amesimama palepale karibu na sadaka yake ya kuteketezwa, pamoja na maofisa wote wa Moabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aliporudi kwake akamwona, akisimama penye ng'ombe yake ya tambiko, yeye na wakuu wote wa Moabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akarudi kwake, na tazama, amesimama karibu na sadaka yake ya kuteketezwa, yeye na wakuu wote wa Moabu pamoja naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Balamu akarudi, akamukuta Balaki akisimama palepale karibu na sadaka yake ya kuteketezwa kwa moto, pamoja na wakubwa wote wa Moabu.