Numbers 23:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitamlaanije mtu ambaye Mungu hakumlaani? Nitawalaumuje watu ambao Mwenyezi-Mungu hakuwalaumu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawezaje kuwalaani, hao ambao Mungu hajawalaani? Nitawezaje kuwashutumu hao ambao Mwenyezi Mungu hakuwashutumu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimlaanije, yeye ambaye Mungu hakumlaani? Nimshutumuje, yeye ambaye Bwana hakumshutumu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitamlaanije mtu ambaye Mungu hakumlaani? Nitawalaumuje watu ambao Mwenyezi-Mungu hakuwalaumu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitawezaje kuwalaani, hao ambao Mungu hajawalaani? Nitawezaje kuwashutumu hao ambao Mungu hakuwashutumu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitawezaje kuwalaani, hao ambao Mungu hajawalaani? Nitawezaje kuwashutumu hao ambao bwana hakuwashutumu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimlaanije, yeye ambaye Mungu hakumlaani? Nimshutumuje, yeye ambaye BWANA hakumshutumu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitamlaanije mtu ambaye Mungu hakumlaani? Nitawalaumuje watu ambao Mwenyezi-Mungu hakuwalaumu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini, Mungu asiyemwapiza nitamwapizaje? Bwana asiyemchafukia nitamchafukiaje?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimlaanije, yeye ambaye Mungu hakumlaani? Nimshutumuje, yeye ambaye BWANA hakumshutumu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitamulaani namna gani mutu ambaye Mungu hakumulaani? Nitawakaripia watu ambao Yawe hakuwakaripia?