Numbers 23:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka vilele vya majabali nawaona; kutoka juu ya milima nawachungulia. Hilo taifa likaalo peke yake, lisilojiona kuwa sawa na mataifa mengine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka vilele vya miamba ninawaona, kutoka mahali palipoinuka ninawatazama. Ninaliona taifa ambalo wanaishi peke yao, nao hawahesabiwi kama mojawapo ya mataifa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kutoka kilele cha majabali namwona; Na kutoka milimani namtazama; Angalia, ni watu wakaao peke yao, Wala hawatahesabiwa pamoja na mataifa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka vilele vya majabali nawaona; kutoka juu ya milima nawachungulia. Hilo taifa likaalo peke yake, lisilojiona kuwa sawa na mataifa mengine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka vilele vya miamba ninawaona, kutoka mahali palipoinuka ninawatazama. Ninaliona taifa ambalo wanaishi peke yao, nao hawahesabiwi kama mojawapo ya mataifa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka vilele vya miamba ninawaona, kutoka mahali palipoinuka ninawatazama. Ninaliona taifa ambalo wanaishi peke yao, nao hawahesabiwi kama mojawapo ya mataifa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kutoka kilele cha majabali namwona; Na kutoka milimani namtazama; Angalia, ni watu wakaao peke yao, Wala hawatahesabiwa pamoja na mataifa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka vilele vya majabali nawaona; kutoka juu ya milima nawachungulia. Hilo taifa likaalo peke yake, lisilojiona kuwa sawa na mataifa mengine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapa juu miambani ninawaona, hapa vilimani ninawachungulia; ndio watu wakaao peke yao, hawajiwazii kuwa sawa na wamizimu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kutoka kilele cha majabali namwona; Na kutoka milimani namtazama; Angalia, ni watu wakaao peke yao, Wala hawatahesabiwa pamoja na mataifa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka vilele vya mawe makubwa ninawaona, kutoka juu ya milima nawachungulia, hilo taifa linalokaa peke yake, lisilojiona kuwa sawa na mataifa mengine.