Numbers 24:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa! Nenda zako. Nilikuwa nimekuahidi kukupa zawadi nyingi, lakini Mwenyezi-Mungu hakukujalia kupata zawadi hizo, amekunyima!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa ondoka upesi uende nyumbani! Mimi nilisema nitakuzawadia vizuri sana, lakini Mwenyezi Mungu amekuzuia usizawadiwe.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa kimbilia mahali pako; naliazimu kukuheshimu sana; lakini, tazama, Bwana amekuzuilia heshima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa! Nenda zako. Nilikuwa nimekuahidi kukupa zawadi nyingi, lakini Mwenyezi-Mungu hakukujalia kupata zawadi hizo, amekunyima!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa ondoka upesi uende nyumbani! Mimi nilisema nitakuzawadia vizuri sana, lakini BWANA amekuzuia usizawadiwe.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa ondoka upesi uende nyumbani! Mimi nilisema nitakuzawadia vizuri sana, lakini bwana amekuzuia usizawadiwe.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa kimbilia mahali pako; niliazimu kukuheshimu sana; lakini, tazama, BWANA amekuzuilia heshima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa! Nenda zako. Nilikuwa nimekuahidi kukupa zawadi nyingi, lakini Mwenyezi-Mungu hakukujalia kupata zawadi hizo, amekunyima!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa jiendee upesi mahali pako! Nalisema moyoni: Nitakuheshimu sana, lakini tazama, Bwana amekunyima hizo heshima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa kimbilia mahali pako; naliazimu kukuheshimu sana; lakini, tazama, BWANA amekuzuilia heshima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa! Kwenda zako. Nilikuwa nimekuahidi kukupa zawadi nyingi, lakini Yawe hakukujalia kupata zawadi hizo, amekunyima!