Numbers 24:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hema zako zapendeza namna gani enyi watu wa Yakobo; naam, kambi zenu enyi watu wa Israeli!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Tazama jinsi yalivyo mazuri mahema yako, ee Yakobo, maskani zako, ee Israeli!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mahema yako ni mazuri namna gani, Ee Yakobo, Maskani zako, Ee Israeli!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hema zako zapendeza namna gani enyi watu wa Yakobo; naam, kambi zenu enyi watu wa Israeli!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Tazama jinsi yalivyo mazuri mahema yako, Ee Yakobo, maskani yako, Ee Israeli!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Tazama jinsi yalivyo mazuri mahema yako, ee Yakobo, maskani yako, ee Israeli!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mahema yako ni mazuri namna gani, Ee Yakobo, Maskani yako, Ee Israeli!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hema zako zapendeza namna gani enyi watu wa Yakobo; naam, kambi zenu enyi watu wa Israeli!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mahema yako, Yakobo, ni mema peke yao, nayo makao yako, wewe Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mahema yako ni mazuri namna gani, Ee Yakobo, Maskani zako, Ee Israeli!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hema zenu zinapendeza sana, enyi watu wa Yakobo; hakika, kambi zenu, enyi watu wa Israeli!