Numbers 24:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni kama mabonde yanayotiririka maji, kama bustani kandokando ya mto, kama mishubiri aliyopanda Mwenyezi-Mungu, kama mierezi kandokando ya maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kama mabonde, yanaenea, kama bustani kando ya mto, kama miti ya udi iliyopandwa na Mwenyezi Mungu, kama mierezi kando ya maji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfano wa bonde zimetandwa, Mfano wa bustani kando ya mto, Mfano wa mishubiri aliyoipanda Bwana, Mfano wa mierezi kando ya maji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni kama mabonde yanayotiririka maji, kama bustani kandokando ya mto, kama mishubiri aliyopanda Mwenyezi-Mungu, kama mierezi kandokando ya maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kama mabonde, yanaenea, kama bustani kando ya mto, kama miti ya udi iliyopandwa na BWANA, kama mierezi kando ya maji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kama mabonde, yanaenea, kama bustani kando ya mto, kama miti ya udi iliyopandwa na bwana, kama mierezi kando ya maji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfano wa bonde zimetandwa, Mfano wa bustani kando ya mto, Mfano wa mishubiri aliyoipanda BWANA, Mfano wa mierezi kando ya maji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni kama mabonde yanayotiririka maji, kama bustani kandokando ya mto, kama mishubiri aliyopanda Mwenyezi-Mungu, kama mierezi kandokando ya maji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huwa kama mabonde yanayoendelea mbali, huwa kama mashamba yaliyoko kando ya mto, huwa kama misagawi, Bwana aliyoipanda, huwa kama miangati iliyoko kwenye maji!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfano wa bonde zimetandwa, Mfano wa bustani kando ya mto, Mfano wa mishubiri aliyoipanda BWANA, Mfano wa mierezi kando ya maji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni kama mabonde yanayotiririka maji, kama bustani kandokando ya muto, kama miti ya mishubiri Yawe aliyopanda, kama mierezi kandokando ya maji.