Numbers 24:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ataotea na kulala chini kama simba, nani atathubutu kumwamsha? Abarikiwe yeyote atakayewabariki nyinyi Waisraeli, alaaniwe yeyote atakayewalaani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hujikunyata na kuvizia kama simba, kama simba jike; nani anayethubutu kumwamsha? “Abarikiwe kila akubarikiye, na alaaniwe kila akulaaniye!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Aliinama, akalala mfano wa simba, Na kama simba mke; ni nani atakayemstusha? Na abarikiwe kila akubarikiye, Na alaaniwe kila akulaaniye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ataotea na kulala chini kama simba, nani atathubutu kumwamsha? Abarikiwe yeyote atakayewabariki nyinyi Waisraeli, alaaniwe yeyote atakayewalaani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hujikunyata na kuvizia kama simba, kama simba jike; nani anayethubutu kumwaamsha? “Abarikiwe kila akubarikiye, na alaaniwe kila akulaaniye!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hujikunyata na kuvizia kama simba, kama simba jike; nani anayethubutu kumwamsha? “Abarikiwe kila akubarikiye, na alaaniwe kila akulaaniye!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aliinama, akalala mfano wa simba, Na kama simba jike; ni nani atakayemstusha? Na abarikiwe kila akubarikiye, Na alaaniwe kila akulaaniye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ataotea na kulala chini kama simba, nani atathubutu kumwamsha? Abarikiwe yeyote atakayewabariki nyinyi Waisraeli, alaaniwe yeyote atakayewalaani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama simba mume au simba mke anavyootea, ndivyo, anavyolala; yuko nani atakayemwinua? Mwenye kukubariki amekwisha kubarikiwa naye, mwenye kukuapiza amekwisha kuapizwa naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Aliinama, akalala mfano wa simba, Na kama simba mke; ni nani atakayemstusha? Na abarikiwe kila akubarikiye, Na alaaniwe kila akulaaniye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atavizia na kulala chini kama simba, nani atasubutu kumwamusha? Abarikiwe yeyote atakayekubariki wewe Israeli, alaaniwe yeyote atakayekulaani.