Numbers 25:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli walipokuwa huko Shitimu, wanaume walianza kuzini na wanawake wa Moabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Israeli alipokuwa akikaa Shitimu, wanaume wa Israeli walianza kuzini na wanawake wa Moabu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Israeli akakaa Shitimu, kisha watu wakaanza kuzini pamoja na wanawake wa Moabu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waisraeli walipokuwa huko Shitimu, wanaume walianza kuzini na wanawake wa Moabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati Israeli alipokuwa akikaa Shitimu, wanaume wa Israeli walianza kuzini na wanawake wa Kimoabu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Israeli alipokuwa akikaa Shitimu, wanaume wa Israeli walianza kuzini na wanawake wa Kimoabu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Israeli akakaa Shitimu, kisha watu wakaanza kuzini pamoja na wanawake wa Moabu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli walipokuwa huko Shitimu, wanaume walianza kuzini na wanawake wa Moabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waisiraeli walipokaa Sitimu, watu wakaanza kufanya ugoni na wanawake wa Kimoabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Israeli akakaa Shitimu, kisha watu wakaanza kuzini pamoja na wanawake wa Moabu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli walipokuwa kule Sitimu, wanaume wakaanza kuzini na wanawake wa Moabu.