Numbers 25:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo mwambie kwamba ninafanya naye agano la amani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo mwambie Finehasi ninafanya agano langu la amani naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi kwa hiyo, sema, Tazama, nampa yeye agano langu la amani;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo mwambie kwamba ninafanya naye agano la amani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo mwambie Finehasi ninafanya Agano langu la amani naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo mwambie Finehasi ninafanya Agano langu la amani naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi kwa hiyo, sema, Tazama, nampa yeye agano langu la amani;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo mwambie kwamba ninafanya naye agano la amani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa sababu hii umwambie: Vivi hivi ninamwekea agano la kumpatia utengemano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi kwa hiyo, sema, Tazama, nampa yeye agano langu la amani;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo umwambie kwamba ninafanya naye agano la amani.