Numbers 25:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huyo Mwisraeli aliyeuawa pamoja na mwanamke wa Kimidiani aliitwa Zimri mwana wa Salu, kiongozi wa jamaa mojawapo katika kabila la Simeoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jina la Mwisraeli ambaye aliuawa pamoja na mwanamke Mmidiani ni Zimri mwana wa Salu, kiongozi wa jamaa ya Simeoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi jina la Mwisraeli huyo aliyeuawa pamoja na yule mwanamke Mmidiani, aliitwa Zimri, mwana wa Salu, mkuu wa nyumba ya baba zake, katika kabila la Simeoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huyo Mwisraeli aliyeuawa pamoja na mwanamke wa Kimidiani aliitwa Zimri mwana wa Salu, kiongozi wa jamaa mojawapo katika kabila la Simeoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jina la Mwisraeli ambaye aliuawa pamoja na mwanamke wa Kimidiani ni Zimri mwana wa Salu, kiongozi wa jamaa ya Simeoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jina la Mwisraeli ambaye aliuawa pamoja na mwanamke wa Kimidiani ni Zimri mwana wa Salu, kiongozi wa jamaa ya Simeoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi jina la Mwisraeli huyo aliyeuawa pamoja na yule mwanamke Mmidiani, aliitwa Zimri, mwana wa Salu, mkuu wa nyumba ya baba zake, katika kabila la Simeoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huyo Mwisraeli aliyeuawa pamoja na mwanamke wa Kimidiani aliitwa Zimri mwana wa Salu, kiongozi wa jamaa mojawapo katika kabila la Simeoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jina lake yule Mwisiraeli aliyekufa kwa kuuawa pamoja na yule mwanamke wa Kimidiani alikuwa Zimuri, mwana wa Salu, naye alikuwa mkuu wa mlango wa baba yake kwao Wasimeoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi jina la Mwisraeli huyo aliyeuawa pamoja na yule mwanamke Mmidiani, aliitwa Zimri, mwana wa Salu, mkuu wa nyumba ya baba zake, katika kabila la Simeoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Huyo Mwisraeli aliyeuawa pamoja na mwanamuke wa Kimidiani aliitwa Zimuri mwana wa Salu, kiongozi wa jamaa moja katika kabila la Simeoni.