Numbers 25:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na huyo mwanamke Mmidiani aliyeuawa aliitwa Kozbi binti Suri, aliyekuwa kiongozi wa ukoo fulani huko Midiani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jina la mwanamke Mmidiani aliyeuawa ni Kozbi binti Suri, aliyekuwa mkuu wa kabila la jamaa ya Wamidiani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na jina la huyo mwanamke Mmidiani aliyeuawa, aliitwa Kozbi, binti Suri; naye alikuwa kichwa cha watu wa nyumba ya baba zake huko Midiani
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na huyo mwanamke Mmidiani aliyeuawa aliitwa Kozbi binti Suri, aliyekuwa kiongozi wa ukoo fulani huko Midiani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jina la mwanamke wa Kimidiani aliyeuawa ni Kozbi binti wa Suri, aliyekuwa mkuu wa kabila la jamaa ya Wamidiani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jina la mwanamke wa Kimidiani aliyeuawa ni Kozbi binti wa Suri, aliyekuwa mkuu wa kabila la jamaa ya Wamidiani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na jina la huyo mwanamke Mmidiani aliyeuawa, aliitwa Kozbi, binti Suri; naye alikuwa kichwa cha watu wa nyumba ya baba zake huko Midiani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na huyo mwanamke Mmidiani aliyeuawa aliitwa Kozbi binti Suri, aliyekuwa kiongozi wa ukoo fulani huko Midiani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nalo jina lake yule mwanamke wa Kimidiani aliyeuawa alikuwa Kozibi, binti Suri aliyekuwa mkuu wa ukoo wa milango ya baba yake kwao Wamidiani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na jina la huyo mwanamke Mmidiani aliyeuawa, aliitwa Kozbi, binti Suri; naye alikuwa kichwa cha watu wa nyumba ya baba zake huko Midiani
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na huyo mwanamuke Mumidiani aliyeuawa aliitwa Kozibi binti ya Suri, aliyekuwa kiongozi wa ukoo fulani huko Midiani.