Numbers 25:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwa sababu waliwachokoza nyinyi kwa hila zao, wakawadanganya kuhusu jambo la Peori, na kwa sababu ya Kozbi, binti yao, aliyeuawa wakati maradhi mabaya yalipozuka kule Peori.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa sababu wao waliwatendea kama adui wakati waliwadanganya katika tukio la Peori na dada yao Kozbi, binti ya kiongozi Mmidiani, mwanamke ambaye aliuawa wakati tauni ilikuja kama matokeo ya tukio la Peori.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa sababu wao wawasumbua ninyi kwa hila zao, ambazo kwa hizo wamewadanganya ninyi katika jambo la Peori, na katika jambo la huyo Kozbi, binti wa mkuu wa Midiani, umbu lao, huyo aliyeuawa siku hiyo ya pigo katika jambo la Peori.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwa sababu waliwachokoza nyinyi kwa hila zao, wakawadanganya kuhusu jambo la Peori, na kwa sababu ya Kozbi, binti yao, aliyeuawa wakati maradhi mabaya yalipozuka kule Peori.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa sababu wao waliwatendea kama adui wakati walipowadanganya katika tukio la Peori na dada yao Kozbi, binti wa kiongozi wa Kimidiani, mwanamke ambaye aliuawa wakati tauni ilipokuja kama matokeo ya tukio la Peori.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa sababu wao waliwatendea kama adui wakati waliwadanganya katika tukio la Peori na dada yao Kozbi, binti wa kiongozi wa Kimidiani, mwanamke ambaye aliuawa wakati tauni ilikuja kama matokeo ya tukio la Peori.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa sababu wao wawasumbua ninyi kwa hila zao, ambazo kwa hizo wamewadanganya ninyi katika jambo la Peori, na katika jambo la huyo Kozbi, binti wa mkuu wa Midiani, dada yao, huyo aliyeuawa siku hiyo ya pigo katika jambo la Peori.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwa sababu waliwachokoza nyinyi kwa hila zao, wakawadanganya kuhusu jambo la Peori, na kwa sababu ya Kozbi, binti yao, aliyeuawa wakati maradhi mabaya yalipozuka kule Peori.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani ndio wanaowachukia ninyi kwa madanganyo yao walipowadanganya na matambiko ya Baali-Peori, tena wamewadanganya na kuwapa ndugu yao mke, yule Kozibi, binti mkuu wa Wamidiani, ni yule aliyeuawa siku hiyo, pigo lilipowapata kwa ajili ya Peori.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa sababu wao wawasumbua ninyi kwa hila zao, ambazo kwa hizo wamewadanganya ninyi katika jambo la Peori, na katika jambo la huyo Kozbi, binti wa mkuu wa Midiani, umbu lao, huyo aliyeuawa siku hiyo ya pigo katika jambo la Peori.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa sababu waliwachokoza ninyi kwa werevu wao, ambao kwa njia yake wamewadanganya katika jambo la Peori, na kwa sababu ya Kozibi, binti yao, aliyeuawa wakati ugonjwa mukali ulipotokea kule Peori.