Numbers 25:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndivyo Waisraeli walivyojiunga na mungu Baali wa Peori, nayo hasira ya Mwenyezi-Mungu ikawaka dhidi yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Israeli akaungana katika kumwabudu Baali wa Peori. Hasira ya Mwenyezi Mungu ikawaka dhidi yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa Israeli kujiungamanisha na Baal-peori; hasira za Bwana zikawaka juu ya Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndivyo Waisraeli walivyojiunga na mungu Baali wa Peori, nayo hasira ya Mwenyezi-Mungu ikawaka dhidi yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Israeli akaungana katika kumwabudu Baali wa Peori. Hasira ya BWANA ikawaka dhidi yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Israeli akaungana katika kumwabudu Baali wa Peori. Hasira ya bwana ikawaka dhidi yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa Israeli alipojiungamanisha na Baal-peori; hasira za BWANA zikawaka juu ya Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndivyo Waisraeli walivyojiunga na mungu Baali wa Peori, nayo hasira ya Mwenyezi-Mungu ikawaka dhidi yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Waisiraeli walipojiunganisha hivyo na Baali-Peori, ndipo, makali ya Bwana yalipowawakia Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa Israeli kujiungamanisha na Baal-peori; hasira za BWANA zikawaka juu ya Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndivyo Waisraeli walivyojiunga na mungu Bali wa Peori, nayo hasira ya Yawe ikawaka juu yao.