Numbers 25:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Finehasi mwana wa Eleazari mwana wa kuhani Aroni alipoona hayo, aliinuka akatoka katika hiyo jumuiya, akachukua mkuki
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Finehasi mwana wa Eleazari, mwana wa kuhani Haruni, alipoona jambo hili, akaondoka kwenye kusanyiko, akachukua mkuki mkononi mwake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Finehasi mwana wa Eleazari, mwana wa Haruni kuhani, alipoona jambo hilo, akaondoka hapo katikati ya mkutano, akashika fumo mkononi mwake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Finehasi mwana wa Eleazari mwana wa kuhani Aroni alipoona hayo, aliinuka akatoka katika hiyo jumuiya, akachukua mkuki
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Finehasi mwana wa Eleazari, mwana wa kuhani Aroni, alipoona jambo hili, akaondoka kwenye kusanyiko, akachukua mkuki mkononi mwake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Finehasi mwana wa Eleazari, mwana wa kuhani Haruni, alipoona jambo hili, akaondoka kwenye kusanyiko, akachukua mkuki mkononi mwake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Finehasi mwana wa Eleazari, mwana wa Haruni kuhani, alipoona jambo hilo, akaondoka hapo katikati ya mkutano, akashika fumo mkononi mwake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Finehasi mwana wa Eleazari mwana wa kuhani Aroni alipoona hayo, aliinuka akatoka katika hiyo jumuiya, akachukua mkuki
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pinehasi, mwana wa Elazari, mwana wa mtambikaji Haroni, alipoyaona akaondoka katikati ya mkutano, akachukua mkuki mkononi mwake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Finehasi mwana wa Eleazari, mwana wa Haruni kuhani, alipoona jambo hilo, akaondoka hapo katikati ya mkutano, akashika fumo mkononi mwake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Finehasi mwana wa Eleazari mujukuu wa kuhani Haruni alipoona hayo, akasimama, akatoka, akatwaa mukuki