Numbers 26:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya yale maradhi, Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose na Eleazari mwana wa kuhani Aroni,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya hiyo tauni, Mwenyezi Mungu akamwambia Musa na Eleazari mwana wa kuhani Haruni,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa baada ya hilo pigo, Bwana akanena na Musa na Eleazari, mwana wa Haruni kuhani, na kuwaambia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya yale maradhi, Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose na Eleazari mwana wa kuhani Aroni,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya hiyo tauni, BWANA akamwambia Mose na Eleazari mwana wa kuhani Aroni,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya hiyo tauni, bwana akamwambia Musa na Eleazari mwana wa kuhani Haruni,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa baada ya hilo pigo, BWANA akanena na Musa na Eleazari, mwana wa Haruni kuhani, na kuwaambia,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya yale maradhi, Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose na Eleazari mwana wa kuhani Aroni,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lile pigo lilipokwisha kukoma, Bwana akamwambia Mose na Elazari, mwana wa mtambikaji Haroni, kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa baada ya hilo pigo, BWANA akanena na Musa na Eleazari, mwana wa Haruni kuhani, na kuwaambia,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha ule ugonjwa, Yawe akamwambia Musa na Eleazari mwana wa kuhani Haruni.