Numbers 26:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hizo ndizo koo za kabila la Simeoni, jumla yao wanaume 22,000.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hizi ndizo koo za Simeoni; walikuwa watu elfu ishirini na mbili na mia mbili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hizi ndizo jamaa za Wasimeoni, watu ishirini na mbili elfu na mia mbili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hizo ndizo koo za kabila la Simeoni, jumla yao wanaume 22,000.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hizi ndizo koo za Simeoni; walikuwa 22,200.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hizi ndizo koo za Simeoni; walikuwa 22,200.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hawa ndiyo jamaa wa Wasimeoni, watu elfu ishirini na mbili na mia mbili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hizo ndizo koo za kabila la Simeoni, jumla yao wanaume 22,000.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hizi ndizo ndugu zao Wasimeoni, watu 22200.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hizi ndizo jamaa za Wasimeoni, watu ishirini na mbili elfu na mia mbili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hizo ndizo ukoo za kabila la Simeoni, jumla yao wanaume elfu makumi mbili na mbili mia mbili.