Numbers 26:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hizo ndizo koo za kabila la Gadi, jumla wanaume 40,500.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hizo zilikuwa koo za Gadi; wale waliohesabiwa walikuwa elfu arobaini na mia tano.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hizi ndizo jamaa za wana wa Gadi kama waliohesabiwa kwao, arobaini elfu na mia tano.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hizo ndizo koo za kabila la Gadi, jumla wanaume 40,500.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hizi ndizo zilizokuwa koo za Gadi; wale waliohesabiwa walikuwa 40,500.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hizi ndizo zilizokuwa koo za Gadi; wale waliohesabiwa walikuwa 40,500.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hawa ndio jamaa wa wana wa Gadi kama waliohesabiwa kwao, elfu arobaini na mia tano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hizo ndizo koo za kabila la Gadi, jumla wanaume 40,500.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hizi ndizo ndugu zao Wagadi; nao wa kwao waliokaguliwa walikuwa watu 40500.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hizi ndizo jamaa za wana wa Gadi kama waliohesabiwa kwao, arobaini elfu na mia tano.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hizo ndizo ukoo za kabila la Gadi, jumla wanaume elfu makumi ine mia tano.