Numbers 26:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kabila la Yuda lilikuwa na wanawe wa Yuda Eri na Onani. Hawa walifia nchini Kanaani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Eri na Onani walikuwa wana wa Yuda, lakini walifia huko Kanaani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Yuda, Eri na Onani; na hao Eri na Onani wakafa katika nchi ya Kanaani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kabila la Yuda lilikuwa na wanawe wa Yuda Eri na Onani. Hawa walifia nchini Kanaani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Eri na Onani walikuwa wana wa Yuda, lakini walifia huko Kanaani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Eri na Onani walikuwa wana wa Yuda, lakini walifia huko Kanaani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Yuda, Eri na Onani; na hao Eri na Onani wakafa katika nchi ya Kanaani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kabila la Yuda lilikuwa na wanawe wa Yuda Eri na Onani. Hawa walifia nchini Kanaani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Yuda walikuwa: Eri na Onani, nao Eri na Onani walikuwa wamekufa katika nchi ya Kanaani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Yuda, Eri na Onani; na hao Eri na Onani wakafa katika nchi ya Kanaani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kabila la Yuda lilikuwa na Eri na Onani. Hawa walikufia katika inchi ya Kanana.