Numbers 26:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Hesabuni jumuiya yote ya Waisraeli, kila mtu kufuatana na jamaa yake. Wahesabuni watu wote wenye umri wa miaka ishirini na zaidi wanaofaa kwenda jeshini.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hesabu jumuiya yote ya Waisraeli kufuatana na jamaa zao, wale wote wenye umri wa miaka ishirini na zaidi, wanaoweza kutumika katika jeshi la Israeli.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Fanya jumla ya mkutano wote wa wana wa Israeli, tangu umri wa miaka ishirini, na zaidi, kwa nyumba za baba zao, hao wote katika Israeli wawezao kutoka kuenenda vitani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Hesabuni jumuiya yote ya Waisraeli, kila mtu kufuatana na jamaa yake. Wahesabuni watu wote wenye umri wa miaka ishirini na zaidi wanaofaa kwenda jeshini.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hesabu jumuiya yote ya Kiisraeli kwa jamaa zao, wale wote wenye umri wa miaka ishirini na zaidi, ambao wanaweza kutumika katika jeshi la Israeli.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hesabu jumuiya yote ya Kiisraeli kwa jamaa zao, wale wote wenye umri wa miaka ishirini na zaidi, ambao wanaweza kutumika katika jeshi la Israeli.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Fanyeni hesabu ya jumuiya yote ya wana wa Israeli, tangu umri wa miaka ishirini, na zaidi, kwa nyumba za baba zao, hao wote katika Israeli wawezao kutoka kuenenda vitani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Hesabuni jumuiya yote ya Waisraeli, kila mtu kufuatana na jamaa yake. Wahesabuni watu wote wenye umri wa miaka ishirini na zaidi wanaofaa kwenda jeshini.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Toeni jumla yao wote walio mkutano wa wana wa Isiraeli kuanzia kwao walio wenye miaka ishirini na zaidi wa milango ya baba zao mkiwakagua wote wanaoweza kwenda vitani kwao Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Fanya jumla ya mkutano wote wa wana wa Israeli, tangu umri wa miaka ishirini, na zaidi, kwa nyumba za baba zao, hao wote katika Israeli wawezao kutoka kuenenda vitani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muhesabu Waisraeli wote, kila mutu kufuatana na jamaa yake. Muwahesabu watu wote wenye umri wa miaka makumi mbili na zaidi wanaofaa kwenda katika jeshi.