Numbers 26:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka kwa Peresi, familia ya Hesroni na Hamuli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wazao wa Peresi walikuwa: kutoka kwa Hesroni, ukoo wa Wahesroni; kutoka kwa Hamuli, ukoo wa Wahamuli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Peresi walikuwa; wa Hesroni, jamaa ya Wahesroni; wa Hamuli, jamaa ya Wahamuli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka kwa Peresi, familia ya Hesroni na Hamuli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wazao wa Peresi walikuwa: kutoka kwa Hesroni, ukoo wa Wahezroni; kutoka kwa Hamuli, ukoo wa Wahamuli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wazao wa Peresi walikuwa: kutoka kwa Hesroni, ukoo wa Wahesroni; kutoka kwa Hamuli, ukoo wa Wahamuli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Peresi walikuwa; wa Hesroni, jamaa ya Wahesroni; wa Hamuli, jamaa ya Wahamuli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka kwa Peresi, familia ya Hesroni na Hamuli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Peresi walikuwa: Hesironi, baba ya ndugu zao Wahesironi, Hamuli, baba ya ndugu zao Wahamuli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Peresi walikuwa; wa Hesroni, jamaa ya Wahesroni; wa Hamuli, jamaa ya Wahamuli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka kwa Peresi, jamaa ya Hesironi na Hamuli.