Numbers 26:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kabila la Isakari lilikuwa na jamaa za Tola, Puva,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wazao wa Isakari kwa koo zao walikuwa: kutoka kwa Tola, ukoo wa Watola; kutoka kwa Puva, ukoo wa Wapuva;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Isakari kwa jamaa zao; wa Tola, jamaa ya Watola; wa Puva, jamaa ya Wapuva;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kabila la Isakari lilikuwa na jamaa za Tola, Puva,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wazao wa Isakari kwa koo zao walikuwa: kutoka kwa Tola, ukoo wa Watola; kutoka kwa Pua, ukoo wa Wapua;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wazao wa Isakari kwa koo zao walikuwa: kutoka kwa Tola, ukoo wa Watola; kutoka kwa Puva, ukoo wa Wapuva;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Isakari kwa jamaa zao; wa Tola, jamaa ya Watola; wa Puva, jamaa ya Wapuva;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kabila la Isakari lilikuwa na jamaa za Tola, Puva,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Isakari kwa ndugu zao walikuwa: Tola, baba ya ndugu zao Watola, Puwa, baba ya ndugu zao Wapuwa;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Isakari kwa jamaa zao; wa Tola, jamaa ya Watola; wa Puva, jamaa ya Wapuva;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kabila la Isakari lilikuwa na jamaa za Tola, Puva,