Numbers 26:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hizo ndizo koo za Zebuluni, jumla wanaume 60,500.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hizo zilikuwa koo za Zabuloni; wale waliohesabiwa walikuwa elfu sitini na mia tano.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hizi ndizo jamaa za Wazabuloni kama waliohesabiwa kwao, sitini elfu na mia tano.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hizo ndizo koo za Zebuluni, jumla wanaume 60,500.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hizi ndizo zilizokuwa koo za Zabuloni, wale waliohesabiwa walikuwa 60,500.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hizi ndizo zilizokuwa koo za Zabuloni, wale waliohesabiwa walikuwa 60,500.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hawa ndio jamaa wa Wazabuloni kama waliohesabiwa kwao, elfu sitini na mia tano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hizo ndizo koo za Zebuluni, jumla wanaume 60,500.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hizi ndizo ndugu zao Wazebuluni, nao wa kwao waliokaguliwa walikuwa watu 60500.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hizi ndizo jamaa za Wazabuloni kama waliohesabiwa kwao, sitini elfu na mia tano.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hizo ndizo ukoo za Zebuluni, jumla wanaume elfu makumi sita mia tano.