Numbers 26:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kabila la Yosefu baba yao Manase na Efraimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wazao wa Yusufu kwa koo zao kutoka kwa Manase na kwa Efraimu walikuwa:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Yusufu kwa jamaa zao; Manase na Efraimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kabila la Yosefu baba yao Manase na Efraimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wazao wa Yosefu kwa koo zao kutoka kwa Manase na kwa Efraimu walikuwa:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wazao wa Yusufu kwa koo zao kutoka kwa Manase na kwa Efraimu walikuwa:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Yusufu kwa jamaa zao; Manase na Efraimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kabila la Yosefu baba yao Manase na Efraimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Yosefu kwa ndugu zao walikuwa: Manase na Efuraimu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Yusufu kwa jamaa zao; Manase na Efraimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kabila la Yosefu baba ya Manase na Efuraimu.