Numbers 26:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose na kuhani Eleazari wakazungumza na watu kwenye nchi tambarare za Moabu, ngambo ya mto Yordani, karibu na Yeriko, wakawaambia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Musa na kuhani Eleazari wakazungumza na watu kwenye nchi tambarare ya Moabu, ng’ambo ya Yordani kutokea Yeriko, wakasema,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Musa na Eleazari kuhani wakanena nao katika nchi tambarare za Moabu karibu na mto wa Yordani, huko Yeriko, wakawaambia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose na kuhani Eleazari wakazungumza na watu kwenye nchi tambarare za Moabu, ng'ambo ya mto Yordani, karibu na Yeriko, wakawaambia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Mose na kuhani Eleazari wakazungumza na watu kwenye nchi tambarare ya Moabu, ng'ambo ya Yordani kutokea Yeriko, wakasema,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Musa na kuhani Eleazari wakazungumza na watu kwenye nchi tambarare ya Moabu, ng’ambo ya Yordani kutokea Yeriko, wakasema,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Musa na Eleazari kuhani wakanena nao katika nchi tambarare za Moabu karibu na mto wa Yordani, huko Yeriko, wakawaambia,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose na kuhani Eleazari wakazungumza na watu kwenye nchi tambarare za Moabu, ngambo ya mto Yordani, karibu na Yeriko, wakawaambia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo Mose na mtambikaji Elazari wakasema nao kwenye mbuga za Moabu ng'ambo ya huku ya Yordani, Yeriko ukiwa ng'ambo ya pili, kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Musa na Eleazari kuhani wakanena nao katika nchi tambarare za Moabu karibu na mto wa Yordani, huko Yeriko, wakawaambia,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa na kuhani Eleazari wakazungumuza na watu kwenye inchi za mabonde za Moabu, ngambo ya muto Yordani, karibu na Yeriko, wakawaambia: