Numbers 26:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hizo ndizo koo za Manase, jumla wanaume 52,700.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hizo zilikuwa koo za Manase; wale waliohesabiwa walikuwa elfu hamsini na mbili na mia saba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hizi ndizo jamaa za Manase; na waliohesabiwa kwao walikuwa ni hamsini na mbili elfu na mia saba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hizo ndizo koo za Manase, jumla wanaume 52,700.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hizi ndizo zilizokuwa koo za Manase; wale waliohesabiwa walikuwa 52,700.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hizi ndizo zilizokuwa koo za Manase; wale waliohesabiwa walikuwa 52,700.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hawa ndiyo jamaa wa Manase; na waliohesabiwa kwao walikuwa ni elfu hamsini na mbili na mia saba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hizo ndizo koo za Manase, jumla wanaume 52,700.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hizi ndizo ndugu zao Wamanase, nao wa kwao waliokaguliwa walikuwa watu 52700.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hizi ndizo jamaa za Manase; na waliohesabiwa kwao walikuwa ni hamsini na mbili elfu na mia saba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hizo ndizo ukoo za Manase, jumla wanaume elfu makumi tano na mbili mia saba.