Numbers 26:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukoo wa Erani ulikuwa na jamaa ya Shuthela.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa walikuwa wazao wa Shuthela: kutoka kwa Erani, ukoo wa Waerani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Shuthela ni hawa; wa Erani, jamaa ya Waerani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukoo wa Erani ulikuwa na jamaa ya Shuthela.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa ndio walikuwa wazao wa Shuthela: kutoka kwa Erani, ukoo wa Waerani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa ndio walikuwa wazao wa Shuthela: kutoka kwa Erani, ukoo wa Waerani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Shuthela ni hawa; wa Erani, jamaa ya Waerani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukoo wa Erani ulikuwa na jamaa ya Shuthela.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao hawa walikuwa wana wa Sutela: Erani, baba ya ndugu zao Waerani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Shuthela ni hawa; wa Erani, jamaa ya Waerani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukoo wa Erani ulikuwa na jamaa ya Sutela.