Numbers 26:37 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hizo ndizo koo za Efraimu, jumla wanaume 32,500. Zote hizo zilitokana na Yosefu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hizo zilikuwa koo za Efraimu; wale waliohesabiwa walikuwa elfu thelathini na mbili na mia tano. Hao walikuwa wazao wa Yusufu kwa koo zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hizi ndizo jamaa za wana wa Efraimu kama waliohesabiwa kwao, thelathini na mbili elfu na mia tano. Hao ndio wana wa Yusufu kwa jamaa zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hizo ndizo koo za Efraimu, jumla wanaume 32,500. Zote hizo zilitokana na Yosefu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hizi ndizo zilizokuwa koo za Efraimu; wale waliohesabiwa walikuwa 32,500. Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yosefu kwa koo zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hizi ndizo zilizokuwa koo za Efraimu; wale waliohesabiwa walikuwa 32,500. Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yusufu kwa koo zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hawa ndio jamaa wa wana wa Efraimu kama waliohesabiwa kwao, elfu thelathini na mbili na mia tano. Hao ndio wana wa Yusufu kwa jamaa zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hizo ndizo koo za Efraimu, jumla wanaume 32,500. Zote hizo zilitokana na Yosefu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hizi ndizo ndugu zao wana wa Efuraimu, nao wa kwao waliokaguliwa walikuwa watu 32500. Hawa walikuwa wana wa Yosefu kwa ndugu zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hizi ndizo jamaa za wana wa Efraimu kama waliohesabiwa kwao, thelathini na mbili elfu na mia tano. Hao ndio wana wa Yusufu kwa jamaa zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hizo ndizo ukoo za Efuraimu, jumla wanaume elfu makumi tatu na mbili mia tano. Zote hizo zilitokana na Yosefu.