Numbers 26:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Hesabuni watu kuanzia na wenye umri wa miaka ishirini na zaidi, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose.” Idadi ya Waisraeli waliotoka Misri ni hii:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hesabuni wanaume wenye umri wa miaka ishirini na zaidi, kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza Musa.” Hawa ndio Waisraeli waliotoka Misri:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Fanyeni jumla ya watu, tangu umri wa miaka ishirini, na zaidi; kama Bwana alivyomwagiza Musa na wana wa Israeli, hao waliotoka nchi ya Misri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Hesabuni watu kuanzia na wenye umri wa miaka ishirini na zaidi, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose.” Idadi ya Waisraeli waliotoka Misri ni hii:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hesabuni wanaume wenye umri wa miaka ishirini na zaidi, kama BWANA alivyomwagiza Mose.” Hawa ndio Waisraeli waliotoka Misri:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hesabuni wanaume wenye umri wa miaka ishirini na zaidi, kama bwana alivyomwagiza Musa.” Hawa ndio Waisraeli waliotoka Misri:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Fanyeni hesabu ya watu, kuanzia umri wa miaka ishirini, na zaidi; kama BWANA alivyomwagiza Musa na wana wa Israeli, hao waliotoka nchi ya Misri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Hesabuni watu kuanzia na wenye umri wa miaka ishirini na zaidi, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose.” Idadi ya Waisraeli waliotoka Misri ni hii:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wahesabuni wao walio wenye miaka ishirini na zaidi, kama Bwana alivyomwagiza Mose pamoja nao wana wa Isiraeli waliotoka katika nchi ya Misri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Fanyeni jumla ya watu, tangu umri wa miaka ishirini, na zaidi; kama BWANA alivyomwagiza Musa na wana wa Israeli, hao waliotoka nchi ya Misri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muhesabu watu kuanzia na wenye umri wa miaka makumi mbili na zaidi, kama vile Yawe alivyomwamuru Musa. Hesabu ya Waisraeli waliotoka Misri ni hii: