Numbers 26:41 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hizo ndizo koo za Benyamini, jumla wanaume 45,600.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hizo zilikuwa koo za Benyamini; wale waliohesabiwa walikuwa elfu arobaini na tano na mia sita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao ndio wana wa Benyamini kwa jamaa zao; na waliohesabiwa kwao walikuwa arobaini na tano elfu na mia sita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hizo ndizo koo za Benyamini, jumla wanaume 45,600.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hizi ndizo zilizokuwa koo za Benyamini; wale waliohesabiwa walikuwa 45,600.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hizi ndizo zilizokuwa koo za Benyamini; wale waliohesabiwa walikuwa 45,600.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao ndio wana wa Benyamini kwa jamaa zao; na waliohesabiwa kwao walikuwa elfu arobaini na tano na mia sita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hizo ndizo koo za Benyamini, jumla wanaume 45,600.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawa walikuwa wana wa Benyamini kwa ndugu zao, nao wa kwao waliokaguliwa walikuwa watu 45600.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao ndio wana wa Benyamini kwa jamaa zao; na waliohesabiwa kwao walikuwa arobaini na tano elfu na mia sita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hizo ndizo ukoo za Benjamina, jumla wanaume elfu makumi ine na tano mia sita.