Numbers 26:42 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kabila la Dani lilikuwa na jamaa ya Shuhamu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa walikuwa wazao wa Dani kwa koo zao: kutoka kwa Shuhamu, ukoo wa Washuhamu. Hizo zilikuwa koo za Dani:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Dani ni hawa kwa jamaa zao; wa Shuhamu, jamaa ya Washuhamu. Hizi ndizo jamaa za Dani kwa jamaa zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kabila la Dani lilikuwa na jamaa ya Shuhamu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa ndio waliokuwa wazao wa Dani kwa koo zao: kutoka kwa Shuhamu, ukoo wa Washuhamu. Hizi ndizo zilizokuwa koo za Dani:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa ndio waliokuwa wazao wa Dani kwa koo zao: kutoka kwa Shuhamu, ukoo wa Washuhamu. Hizi ndizo zilizokuwa koo za Dani:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Dani ni hawa kwa jamaa zao; wa Shuhamu, jamaa ya Washuhamu. Hizi ndizo jamaa za Dani kwa jamaa zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kabila la Dani lilikuwa na jamaa ya Shuhamu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawa walikuwa wana wa Dani kwa ndugu zao: Suhamu, baba ya ndugu zao Wasuhamu; hizi ndizo ndugu zao Wadani kwa ndugu zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Dani ni hawa kwa jamaa zao; wa Shuhamu, jamaa ya Washuhamu. Hizi ndizo jamaa za Dani kwa jamaa zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kabila la Dani lilikuwa na jamaa ya Suhamu;