Numbers 26:47 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hizo ndizo koo za kabila la Asheri, jumla wanaume 53,400.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hizo zilikuwa koo za Asheri; wale waliohesabiwa walikuwa elfu hamsini na tatu na mia nne.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hizi ndizo jamaa za wana wa Asheri kama waliohesabiwa kwao, hamsini na tatu elfu na mia nne.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hizo ndizo koo za kabila la Asheri, jumla wanaume 53,400.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hizi ndizo zilizokuwa koo za Asheri; wale waliohesabiwa walikuwa 53,400.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hizi ndizo zilizokuwa koo za Asheri; wale waliohesabiwa walikuwa 53,400.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hawa ndio jamaa wa wana wa Asheri kama waliohesabiwa kwao, elfu hamsini na tatu na mia nne.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hizo ndizo koo za kabila la Asheri, jumla wanaume 53,400.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hizi ndizo ndugu zao wana wa Aseri, nao wa kwao waliokaguliwa walikuwa watu 53400.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hizi ndizo jamaa za wana wa Asheri kama waliohesabiwa kwao, hamsini na tatu elfu na mia nne.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hizo ndizo ukoo za kabila la Aseri, jumla wanaume elfu makumi tano na tatu mia ine.