Numbers 26:48 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kabila la Naftali lilikuwa na jamaa za Yaseeli, Guni,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wazao wa Naftali kwa koo zao walikuwa: kutoka kwa Yaseeli, ukoo wa Wayaseeli; kutoka kwa Guni, ukoo wa Waguni;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Naftali kwa jamaa zake; wa Yaseeli, jamaa ya Wayaseeli; na wa Guni, jamaa ya Waguni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kabila la Naftali lilikuwa na jamaa za Yaseeli, Guni,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wazao wa Naftali kwa koo zao walikuwa: kutoka kwa Yahseeli, ukoo wa Wayaseeli; kutoka kwa Guni, ukoo wa Waguni;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wazao wa Naftali kwa koo zao walikuwa: kutoka kwa Yaseeli, ukoo wa Wayaseeli; kutoka kwa Guni, ukoo wa Waguni;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Naftali kwa jamaa zake; wa Yaseeli, jamaa ya Wayaseeli; na wa Guni, jamaa ya Waguni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kabila la Naftali lilikuwa na jamaa za Yaseeli, Guni,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Nafutali kwa ndugu zao walikuwa: Yaseli, baba ya ndugu zao Wayaseli, Guni, baba ya ndugu zao Waguni,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Naftali kwa jamaa zake; wa Yaseeli, jamaa ya Wayaseeli; na wa Guni, jamaa ya Waguni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kabila la Nafutali lilikuwa na jamaa za Yaseli, Guni,