Numbers 26:50 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hizi ndizo koo za kabila la Naftali, jumla wanaume 45,400.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hizo zilikuwa koo za Naftali; wale waliohesabiwa walikuwa elfu arobaini na tano na mia nne.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hizi ndizo jamaa za Naftali kwa jamaa zao; na waliohesabiwa kwao walikuwa arobaini na tano elfu na mia nne.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hizi ndizo koo za kabila la Naftali, jumla wanaume 45,400.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hizi ndizo zilizokuwa koo za Naftali; wale waliohesabiwa walikuwa 45,400.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hizi ndizo zilizokuwa koo za Naftali; wale waliohesabiwa walikuwa 45,400.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hawa ndio jamaa wa Naftali kwa jamaa zao; na waliohesabiwa kwao walikuwa elfu arobaini na tano na mia nne.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hizi ndizo koo za kabila la Naftali, jumla wanaume 45,400.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hizi ndizo ndugu zao Wanafutali kwa ndugu zao; nao wa kwao waliokaguliwa walikuwa watu 45400.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hizi ndizo jamaa za Naftali kwa jamaa zao; na waliohesabiwa kwao walikuwa arobaini na tano elfu na mia nne.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hizi ndizo ukoo za kabila la Nafutali, jumla wanaume elfu makumi ine na tano mia ine.