Numbers 26:51 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Idadi ya wanaume Waisraeli waliohesabiwa ilikuwa 601,730.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jumla ya hesabu ya wanaume wa Israeli ilikuwa elfu mia sita na moja mia saba na thelathini (601,730).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao ndio waliohesabiwa katika wana wa Israeli, mia sita na moja elfu, na mia saba na thelathini (601,730).
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Idadi ya wanaume Waisraeli waliohesabiwa ilikuwa 601,730.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jumla ya hesabu ya wanaume wa Israeli ilikuwa 601,730.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jumla ya hesabu ya wanaume wa Israeli ilikuwa 601,730.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao ndio waliohesabiwa katika wana wa Israeli, elfu mia sita na moja, mia saba na thelathini (601,730).
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Idadi ya wanaume Waisraeli waliohesabiwa ilikuwa 601,730.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hii ilikuwa jumla ya wana wa Isiraeli waliokaguliwa watu 601730.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao ndio waliohesabiwa katika wana wa Israeli, mia sita na moja elfu, na mia saba na thelathini (601,730).
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hesabu ya wanaume Waisraeli waliohesabiwa ilikuwa elfu mia sita, na moja mia saba na makumi tatu.